MUSIC

Money Heist Season Ya Tano (5) Final Kuanza Kushutiwa Jumatatu Ijayo.

Katika mazungumzo na Muandaaji wa Movie Hii inayoitwa “Money Heist” au “La casa De Papel” bwana “Alex Pina” ameyasema haya “Tumetumia karibu mwaka mzima katika kufikiria jinsi ya kumaliza mkasa huu, na jinsi ya kumdhibiti professor na majibu yatajulikana katika season ya mwisho ya movie hii ambayo ni season Five Ya Tano ambayo pia ni final” katika season hio kutakua na Episodes 10 za money heist.

The global hit stars Ursula Cobero (Tokyo), Alvaro Morte (The Professor) , Itziar Ituno (Lisbon), Pedro Alonso (Berlin), Miguel Herran (Rio), Jaime Lorente (Denver), Esther Acebo (Stockholm), Enrique Arce (Arturo), Darko Peric (Helsinki), Hovik Keuchkerian (Bogota), Luka Peros (Marseille), Belen Cuesta (Manila), Fernando Cayo (Coronel Tamayo), Rodrigo de la Serna (Palermo) and Najwa Nimri (Inspector Sierra).

The upcoming season will also feature actors Miguel Angel Silvestre and Patrick Criado.

Pina will serve as showrunner as well as executive produce the season along with Jesus Colmenar and Cristina Lopez Ferraz.

Colmenar, Koldo Serra and Alex Rodrigo are attached to direct.