
BINGWA Studio | Kibanda Umiza, Kigamboni, Dar.
Majogoo wameangusha Daraja 🤔
Hapa Kibanda Umiza Mjadala ni kadi nyekundu na unyama Alcantara. Kuna wanaosema ile ngoma ilikuwa nzito sana kwa Chelsea.
Unaonaje? ule umeme ulikata morali ya Chelsea?
Twende Kibingwa💪
Jisajili ulambe 1,000 zama www.betika.co.tz jisajili sasa BETIKA!