Rapper wa Kike Rosa Ree Ambae inaaminika ameweza kukaa muda mrefu katika game ya Bongo Flava bila Kushoka Kiwango.
inaonekana hivi karibuni atakuwepo katika ngoma moja na Rayvanny wa WCB wasafi
….Rosa amepost picha hiyo hapo juu akiwa na Ray vanny, mazingira ya picha hiyo yanaonekana ni Location wakishoot Video
Pia leo Msanii Rayvanny amepost Video akiimba Wimbo unaonekana ni Remix ya Wimbo Mmoja wapo wa Rosa Ree Akiwa naye na kuweka Caption inayosema “Rosa Ree I’m proud of you”
Ngoja tukae mkao wa kula labda kuna kitu kizuri kinakuja.
Rosa Ree ft Rayvanny Sukuma Ndinga Is Coming….
Lakini Pia Rayvanny Ameshilikishwa Kwenye Nyimbo Mpya Ya Madee Iitwayo Pombe. <<DOWNLOAD HAPA>>>