Duniani kuna mambo mengi sana ambayo sisi binadamu tunakutana nayo, yapo mambo mazuri na yapo mambo mabaya, Nasema hivyo kwa sababu kuna siku ambayo wewe unakuwa Kwenye shida, maumivu pamoja na tabu ila mUda huo huo kuna mtu yupo ana furaha na amani katika upande wake ndo mzunguko wa dunia jinsi ulivyo.
Mme wangu alifariki duniani mwaka 2000 na kuniacha na watoto wanne, Mtoto wetu wa nne alikuwa ana umri wa miaka 8, Kabla mme wangu hajafariki dunia ndugu zake walinipenda na kunijari sana kipindi kile kaka yao yupo hai ila tabu ilitokea pale alipotoweka dunia ndipo msemo usemao
“ukiyastaajabu ya mussa,utayaona ya firauni” uliponikuta na watoto wangu wanne, Nasema hivyo kwa sababu ilikuwa ni vigumu kuamini kile kilichotokea.
Baada ya mazishi ya mme wangu familia yake ilikaa chini na kuninyang’anya watoto wangu wote wanne, wakisema kuwa ni damu yao hivyo watawalea wenyewe, ila lengo lao kubwa ilikuwa si kulea watoto wangu bali walitaka kuchukua mali za marehemu mme wangu.
Mme wangu aliacha nyumba tano za wapangaji, magari matatu ya kubeba mizigo, maduka mawili ya kuuza spear za gari pamoja na nyumba kubwa tuliyokuwa tunaishi na magari matatu ya kifahari.
Hivyo kila aliyechukua mtoto alipata gari, nyumba na vitu vingine kwa ufupi mimi nilipewa nyumba ambayo tulikuwa tunaishi na mme wangu pia hiyo nyumba ilikuwa chini ya uangarizi wa mdogo wao wa mwisho.
Maamuzi hayo sikuweza kukubariana nayo hata kidogo kwa sababu kama mali nilizitafuta na mme wangu na kitendo cha kuninyang’anya watoto kiliniuma sana kwa sababu mimi ndo nilikuwa na jukumu la kulea wale watoto.
Mimi nilipanda gari na kurudi mjini kisha nikasubiri siku 40 zipite kwa ajiri ya kumpa mme wangu heshima kule alipo, kisha siku hizo zilipotimia niliwafunguria kesi na kuomba watoto wangu warudishwe nyumbani pia mali zote za mme wangu wasiingirie hadi mimi ntakapofariki dunia.
Kesi ilichukua muda wa mwaka mmoja bila kupata muhafaka kwa sababu hakimu alikuwa anatoa tarehe ya kurudi kusikilizwa mahakamani na ikifika tarehe anaongeza mbele na sasa ukawa kama mchezo wa kuja mahakamani na kurudi nyumbani hamna kitu ninachokipata zaidi ya presha ya kila mara.
Ndugu wa mme wangu walianza kutumia mali hizo vibaya sana na kuanza kutumia watoto wenyewe kubadilisha document za nyumba na vitu vingine hata watoto pia wakaambiwa kuwa mimi ni mbaya ndo niliyesababisha kifo cha baba yao hali ya kuwa siyo kweli, Ilifika hatua hata nikienda mahakamani watoto hawataki kuniona wala kunisalimia.
Siku zilisogeswa mbele hadi mahakama ikafikia hatua ya kusema kuwa sitakiwi kusogelea watoto wale mpaka mtoto wangu wa mwisho atakapofika miaka 18
jambo ambalo kwangu mimi kama mzazi lilizidi kuniumiza moyo wangu.
Mwaka wa tatu ulipotimia nikiwa bado nina shitakiana na ndugu wa mme wangu juu ya mali ya watoto wangu ndipo Shangazi yangu akanambia kuwa amepata mtu wa kunisaidia kupata haki yangu na si mwingine ni Dr.kiwanga, Alinipatia namba ya simu ya Dr.kiwanga ambayo ni +254 769404965, Niliwasiliana na Dr.kiwanga kisha nikafunga safari kutoka hapa kwetu Tanzania hadi Kenya-Kericho.
Nilipokelewa vizuri na kiwangadoctors japo nilikuta watu wengi sana, hivyo sikuwa na budi ya kusubiri zamu yangu ifike.
Zamu yangu ilipofika nilionana na Dr.kiwanga kisha nikapata huduma nzuri na kuambiwa kuwa haki yangu ntapata kabla ya siku nne kuisha, Nikiwa bado kwenye ofisi yao kiwangadoctors walinieleza kuwa wanashughurika vitu mbalimbali kama kumrudisha mpenzi wako, kupata cheo kazini, dawa ya nguvu za kiume, dawa ya biashara pamoja na kushinda michezo ya bahati nasibu.
Kisha nilitoka ofisini kwao na kurudi nyumbani Tanzania, Nilipofika tu Mashemeji zangu walinipigia simu na kuomba nije nichukue watoto wangu pia twende tukafute kesi mahakamani kwa sababu haileti picha nzuri kwa familia yao Nilifanya kama walivyotaka hatimaye watoto wapo kwangu na kila haki yao ipo kwenye mikono yangu.
Wasilina na kiwangadoctors kwa namba +254 769404965 pia unaweza watumia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com na website yao www.kiwangadoctors.com ili upate mengi kuwahusu.