Ama kwa hakika kila mtu hutaka mali yake iweze kuheshimiwa na yeyote kwa kuwa watu wengi huwa wameteseka sana kupata mali zile kwa mfano gari, pikipiki, nyumba au hata maduka. Huwa ni jambo la kuvunja moyo mtu anapopata ushawishi wa kuiba kitu cha mtu mwingine ambacho hakukifanyia kazi.
Swala zima la mkono mrefu huwa ni tishio kwa maendeleo katika jamii na hapo watu wengi huogopa hata kuwekeza katika sekta mbalimbali kama vile biashara ndogo ndogo. Katika mtaa wa Buza genge la wezi watano lilionyeshwa cha mtema kuni ambapo walikuwa wamemwibia mkazi mmoja boda boda. Kulingana na walioshuhudia kisa hicho, genge hilo lilikuwa limesumbua wakazi wale kwa muda sasa.
Maduka yao yalikuwa yakivunjwa, bidhaa zao kuibiwa, kina mama walikuwa wakibakwa kila walipokuwa wakirejea manyumbani na hata watu kadhaa walikuwa wameuawa kutokana na ukatili wa genge lile. Uwepo wa lile genge la wahuni kwenye mitaa ya mjini Buza kwa hakika ulikosesha wakazi wa eneo lile usingizi.
Siku ile genge lile lilirejesha pikipiki ya jamaa yule likiwa limeibeba nzima nzima kwenye mabega yao huku wakila nyasi na kutoa kitu kama moshi kwenye pua zao. Jambo hili lilivutia umati mkubwa wa watu kwani lilikuwa ni jambo ambalo halikuwa la kawaida kuwahi kutokea katika eneo hilo. Wezi wale walipofika kwa yule bwana mwenye pikipiki ile, ndivyo mambo yaliwazidia kwani walianza kula mchanga huku wakivua nguo na kubaki uchi.
Wazee kwa vijana, kina mama kwa watoto walijitokeza wote kujionea video ya bure. Wanahabari nao haakuwachwa nyuma kwani habari ile ingeleta wasomaji wengi baadae haswa kwenye magazeti iwapo ingechapishwa. Mwenye pikipiki ile alipohojiwa alisema kwamba alikuwa amechoka na genge lile kwa kuwa lilikuwa
limehangaisha mtaa ule kwa muda sasa na kusema alitaka kuwafunza adabu.
Umati ulikuwa ukishangilia kweli na maskini genge lile la wezi liliendelea kutafuna nyasi mithili ya ng’ombe huku wakitoa sauti ya pikipiki kwa hakika ilikuwa ni siku yao ya arobaini.
Polisi walijaribu kutenganisha umati ule lakini waliambulia patupu. Wanahabari waliendelea kuhoji mwenye pikipiki ile na akawaarifu kuwa daktari Kiwanga ndiye alikuwa fundi aliyemsaidia kuwanasa jamaa wale. Aliongeza kwamba jamaa wale hawangerudi katika hali ya kawaida kwani ilipaswa daktari Kiwanga ajulishwe ili kufanya hali yao irudi kama hapo awali.
Wananchi waliokuwa wamekusanyika walikuwa wakishangilia kwa furaha kwani walifahamu fika kwamba watu wengine waliokuwa na tabia ya mkono mrefu kama genge lile la wahuni walikuwa wametishiwa. Wizi ungepungua katika eneo hilo kwa kiasi kikubwa. Baada ya dakika chache daktari Kiwanga alipigiwa simu na mwenye pikipiki ile. Aliamrisha wezi wale walipe takribani shilingi milioni moja ili waweze kurejea katika hali yao ya kawaida.
Hali ilikuwa ngumu kwani jamaa wale hawakuwa na uwezo wa kuzungumza kutokana na hali waliokuwa nayo. Nyasi pekee ndio ilikuwa mlo wao. Jamaa yule mwenye pikipiki alitafuta mbinu ya kupata ndugu wa wezi wale na mwishowe akawapata na kuwaarifu jinsi daktari alivyosema ili kuwarejesha katika hali ya kawaida.
Walilipa kiasi ambacho waliambiwa na hapo mambo yakarejea kama kawaida kwani daktari Kiwanga hakusita na kurekebisha mambo. Tangu siku ile wizi wa pikipiki na bidhaa zingine katika mji ule umepungua kiasi kikubwa kwani kila
mtu anaheshimu bidhaa na mali ya mwenzake.
Mtu yeyote aliye na matatizo ya wizi katika biashara na swala hili limemkosesha usingizi anapaswa kumtembelea daktari Kiwanga ili kuishi kwa amani. Ni daktari
ambaye amekita mizizi katika eneo zima la Afrika mashariki kwa ueledi wake wa kutibu magonjwa kama vile kifafa, msukumo wa damu na mengineyo. Anasuluhisha migogoro ya ndoa, mapenzi na mambo mengine kwa muda wa siku tatu pekee. Wasiliana naye kwa nambari ya simu +254 769404965 ama
barua pepe kiwangadoctors@gmail.com pia kwa wavuti www.kiwangadoctors.com kwa usaidizi wowote.