Kitendo cha kuachika kwa ndoa ni jambo ambalo linatokea katika jamii zetu kila kukicha. Kuachana na mpendwa wako kunasababishwa na kutoelewana baina ya wahusika wa wawili. Swali ni je mda gani umeishi na huyo mpendwa wako? Vitu gani ukiachana na mpendwa wako utapoteza? Ukisha pata majibu sahihi ndo utagundua kuwa mahusiano yana maana sana katika maisha ya binadamu pia utafahamu kuwa kitendo cha kuachana na mpendwa wako ni jambo ambalo linakupatia kidonda moyoni mwako kamwe hakiwezi pona.
Mimi naitwa Rosemary, umri wa miaka 50. Kazi yangu ni mwalimu wa sekondari. Mme wangu anaitwa Aivan ana umri wa miaka 58 nae ni Headmaster wa shule ninapofundisha. Nina miaka 20 nikiwa na Mr. Aivan tukiwa katika ndoa. Ndani ya hizo siku tumeweza nunua Shamba la kulima kijini kwao, Tumejenga nyumba za kupangisha 4 pamoja na tumeshirikiana kujenga nyumba ambayo tunaishi kwa sasa.
Nilichukua mkopo kwa Bank na yeye alichukua mkopo kwa Bank kwa ajiri ya kuandaa maisha yetu baada ya kustaafu. Pesa hizo ndo tulitumia kufanya hivyo vitu na kununua usafiri wa kutembelea.
Maisha yalikuwa mazuri ila tu baada ya kufanya hivyo vitu mme wangu alianza kubadilika na kujingamba kuwa mimi sina chochote kile. Alifanya hivyo kwa sababu nilipopokea pesa ya mkopo nilimkabidhi mme wangu hivyo kila kitu kilikuwa kwa majina yake.
Majigambo na maneno machafu kutoka kwa mme wangu yalininyima amani kazini pamoja na nyumbani pia. Kila nikiuliza kitu chochote kuhusu nyumba zetu sipati jibu lolote, hadi ikafika hatua mimi napanda pikipiki kwenda kazini yeye anaenda na gari hataki kuniweka kwa gari. hatata tukiwa tunarudi kutoka kazini yeye anaweka marafiki zake kwa gari mimi napanda bodaboda kurudi nyumbani.
Mwenendo wa maisha hayo ulikuwa mgumu sana kwa sababu ni maisha ambayo sikuzoea. Nilivyokuwa nafikiria kuanzisha maisha yangu pekee natazama Upande wa pili kitu gani naweza fanya hali ya kuwa nina mkopo Benk kila mwezi wanakata pesa kutoa kwa Akaunti yangu. Nyumba tulizojenga mme wangu hataki nipate hata Mia. Siwezi Olewa tena nimesha zeeka hayo yote maswali yanifanya nitafute usaidizi kwa ajiri ya kubaki na mme wangu pia nipate matunda ya jasho langu.
Siku moja nikitazama opera news niliona habari ya mtu anatoa ushuhuda jinsi alivyo weza saidika kupata cheo kazini kwake baada ya kufanya kazi kwa miaka 30 bila kupata cheo chochote ila
Dr.kiwanga alimsaidia. Nilizidi kusoma ushuhuda wake ndipo niliona kaweka namba ya Dr.kiwanga ambayo ni hii +254 769404965, website yao www.kiwangadoctors.com.
Moja kwa moja nilitembelea website yao ili niweze tambua wanapatikana wapi. Pia namna gani naweza pata usaidizi ndipo niliona kuwa Kiwanga doctors wanatatua shida mbalimbali kama kupata kazi, Nguvu za kiume, shida za kupata mtoto, kusafisha nyota, kurudisha mpenzi na kurudisha upendo na amani katika familia. Nilivyoona hivyo nilichukua simu yangu na kumpigia Dr.kiwanga ili niweze pata usaidizi wake.
Niliongea na Dr.kiwanga na kumwambia nahitaji kufika ofisini kwake Kericho. Dr. aliweza nikubalia na baada ya week 2 niliweza fika ofisini kwake Kericho – ķenya nikapata matibabu kwa siku 2 kisha nikarudi tena nyumbani. Dr.kiwanga alinambia kuwa wiki hiyo hiyo ambayo nimepata matibabu, majibu yangu ntayapata kwa week hiyo hiyo.
Kabla ya week haijaisha mme wangu aliniomba msamaha na kunambia kuwa nianze kusimamia mali zetu. Nilipata furaha sana moyoni mwangu kusikia maneno kama hayo yanatoka kwa mdomo wa mme wangu. Na kwa sasa mme wangu ananiheshimu na kunipenda kama mwanzo tulivyokuwa.
Asante Kiwanga doctors kwa kunitatulia shida yangu ambayo nilishindwa kupata ufumbuzi wake kwa muda mrefu. Hakika wanawake ni jukumu letu kulinda familia zetu na si kuachika kwa ndoa; kitendo cha kuachika kwa ndoa sio muhafaka sahihii.
Unaweza wasiliana na Dr.kiwanga kwa namba ya simu +254 769404965 au tembelea website yao www.kiwangadoctors.com kwa mawasiliano zaidi.