Lyrics: Lody Music – Kubali Lyrics
“Lord Music – Kubali Rylics”
Yeah! Unalewa nini wakati mwenzako, Ameshakuacha yani hakutaki tena aah!
Unampigia nini akiona namba yako tu anakata, Huyo sio wako tena.
Hata usiwaze kulipiza kisasi, Kwa vijembe vingi huko status.
RELATED: AUDIO: Lody Music – Kubali Mp3 Download
Kwenye moyo wake huna nafasi easy, Tena usiwaze kujipiga risasi.
Usijinyonge usijigasi, Kwenye moyo wake huna nafasi easy.
Usilazimishe eeh!
Utazeeka vibaya, Asikulazimishe no nno no
Unaenda mishe mishe, Ndani analeta malaya
Asikubabaishe ooh! yeah yeah eh
Amekuacha we, umeachwa, Kubali kubali
Utampata wako mtapendana kwa dhati, Amekuacha we, umeachwa eeh!
Kubali kubali, Aah! Mapenzi yanauma eh
VERSE 2
Unayempenda kampenda mwengine, Huyo mwengine naye ana mwengine
Mwengine naye Kapendwa na mwengine, Moyo sukuma damu sio mashine
Yanakuumiza na pengine, Hauna budi kumpenda mwengine
mapenzi joto joto usipime, Moyo sukuma damu sio mashine
Penzi kiza kinene kiroho mbaya, Yanatesa tena vibaya
Ukitendwa una retire ah!,
Labda hufikii kina kwenye mapenzini, Ndo maana unaachwa matatani
Hufiki kina mapenzini, Mapenzi.
Usilazimishe eeh!
Utazeeka vibaya, Asikulazimishe no nno no
Unaenda mishe mishe, Ndani analeta malaya
Asikubabaishe ooh! yeah yeah eh
Amekuacha we, umeachwa, Kubali kubali
Utampata wako mtapendana kwa dhati, Amekuacha we, umeachwa eeh!
Kubali kubali, Aah! Mapenzi yanauma eh