Dr Kiwanga

NILIKIPATA KIPENZI CHANGU CHA MAISHA BAADA YA MIAKA MINGI YAKUTAFUTA MPENZI

VIDEO: Joeboy – Focus Mp4 Download

.
Ni makadirio ya kila kijana awe wa kike au wa kiume atakapo timiza miaka ya utu uzima ataweza kumpata mchumba mwema kupitia harusi isiyo na kifani itakayo wapa kibali cha kuingia katika ndoa, kama mume na mke msingi maisha ya ndoa yawe yamekaribishwa. Yote hayo niliweza kufikiria kila wakati katika ndoto zangu toka nitimize miaka ishirini.
Nilidhaminia kupata mume atakayenipenda na kunithamini kila wakati na chochote kile kisije kikatutenganisha maishani mwetu. Japo hayo yote hayakuweza kutimia kwa urahisi, ningesema kama nisingeweza kukutana na daktari Kiwanga, daktari wa kiasi anayetatua mengi mapenzi ikiwa mojawapo singeweza kufikia ndoto yangu. Kabla nisimulie safari yangu ya kumpata mchumba wangu kwa usaidizi wa “kiwanga doctors” ningependa utakapo maliza kusoma utembelee wavuti www.kiwangadoctors.com kuweza kupata mengi. Nikiendelea nilipotimiza umri wa miaka kumi na minane nilianza kupata hamu ya kutaka kuwa wenye jinsia tofauti, hapo niliweza kupata kijana mmoja kwa jina la Juma tuliyekuwa tunasoma naye katika darasa moja katika moja wapo wa vyuo vikuu nchini Kenya. Urafiki ulioshika kwa haraka na kufikia kuwa mapenzi kwa kutojua, urafiki ulibadilika ghafla na kuwa mapenzi kwa kuwa tulianza kuyafanya yanayofanywa na wanandoa, nilimuamini saana na kumpenda Juma kwa kuwa aliahidi kuwa tungefunga naye ndoa pindi tu tungeyakamilisha masomo yetu katika chuo kikuu.
Nilikuwa mwenye furaha kila wakati nilikuwa na mpenzi wangu Juma na kumfanyia yote aliyohitaji nimfanyie kwa kudhania kuwa ahadi yake ingeweza kutimika. Ningesema ni kifumba macho ambacho sikuwahi kugundua fika siku nilimfumania Juma, akiwa na mwanamke mwengine rafiki yangu wa Karibu. Kwa muda huo sikuweza kugundua kuwa Juma hakuwa mwaminifu hata kidogo. Kwa kuwa nilikuwa na uchungu mwingi moyoni mwangu sikuona haja ya kuendelea kuwa katika uhusiano huo hapo mapenzi hayo nikayakatiza ghafla. Nilikaa bila mpenzi kwa muda wa mwaka moja na nusu, na kuweza kumpata mpenzi wangu wa pili kanisani. Nilimuamini mno kwa kuwa alikuwa moja wapo wa viongozi wa kanisa, na aliyoyanena kuhusu ndoa na uhusiano yalikuwa uaminifu na upendo. Sikujua alikuwa mbwa mwitu aliyejificha ndani ya kondoo. Pia naye vile vile tuliweza kuachana naye. Niliamua kuishi bila mchumba kwa kuwa nilijua kuwa wanaume wote sio waaminifu.

Baada ya miaka mitatu hivi, nilipokuwa kwenye shughuli zangu mtandaoni niliweza kuliona tangazo la kibiashara kutoka kwa madaktari wa kiasili “Kiwanga doctors” Nilipofanya upekuzi wao mtandaoni nilipata kuwa walikuwa na uwezo wa kutatua mizogozogo za mapenzi, kuweza kumpata mpenzi mwaminifu ikiwa moja wapo. Bila kusita niliweza kuwapigia simu na siku iliyofwatia nikapatana na daktari huyo wa kiasili na kumueleza yote. Alinipa ahadi kuwa ningempata mpenzi mwaminifu kwa muda mchache. Siku tatu baadaye niliweza kumpata mume wangu tunayeishi naye kwa ndoa sasa. Ni miaka kumi sasa bila kukosana. Ningependa kuwapa pongezi “kiwanga doctors” kwa kunisaidia kumpata mwanaume mwema. Kwa mengi tembelea wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kutuma barua pepe kwa kiwangadoctors@gmail.com pia waweza kumpigia simu kwa nambari +254 769404965. Daktari kiwanga anatibu magonjwa kama kisonono, kisukari na mengine mengi. Pia huwa wanatatua migogoro ya mapenzi, kurudisha mali iliyo ibiwa na mengine mengi.