Dr Kiwanga

SOMA MKASA HUU: Jinsi Nilivyofumania Mume Wangu Akiwa Na Mchepuko

SOMA MKASA HUU: Jinsi Nilivyofumania Mume Wangu Akiwa Na Mchepuko

Tuliishi kwa upendo na mume wangu na hakuna lolote ambalo lingetutenganisha kama jinsi tulivyo ahidiana kwenye harusi ya kufana tuliyokuwa tumefunga miaka miwili iliyopita. Jinsi muda ulivyosonga ndivyo mume wangu alivyoanza kubadilika mienendo yake kwani wakati mwingine alirejea nyumbani akiwa amechelewa na nilipomuliza tu alifoka kwa ukali.

Akipigiwa simu mara aingie chooni ama anatoka nje kupokea simu, Kwenye
namba zake alikuwa ameandika majina ya kiume yote lakini sauti zilizopiga simu ile zilikuwa za kike kwani hii ilikuwa tu ni njia ya kunifunga macho kwamba alikuwa mwaminifu na alinithamini mimi peke yangu. Nilifahamu fika kwamba alikuwa na mipango ya kando iliyomnogesha hadi wakati mwingine alichelewa kuingia nyumbani.

Chakula pia alianza kususa, Kila mara alisema walikula chakula kingi kwenye mikutano ya kikazi aliyohudhuria lakini mambo hayo hayakuniingia akilini kwa vyovyote vile, Wakati mwingine alirejea nyumbani huku akinukia manukato ya marashi.

Siku niliyogundua kuwa alikuwa na mpango wa kando ni siku moja aliporejea nyumbani huku lipstiki zikiwa zimebaki kwenye shati lake upande wa nyuma. Nilimuuliza na hapo ugomvi ukazuka. Nyumba yetu ikawa ni uwanja wa makonde baina yetu. kwa hakika ilikuwa wazi kwamba alikuwa na mpango wa kando na hilo halikufichika kwani nilikuwa na ushahidi kamili na usio na pingamizi zozote.

Nilipiga moyo konde na kujiambia moyoni hiyo ilikuwa ni changamoto tu ya ndoa na hakuna ndoa yoyote duniani ambayo haikumbwi na misukosuko ya aina yake kwa wakati wowote. Nilijifanya kama mjinga kwenye ndoa ile kwani sikutaka mambo mengi na migogoro ya kila mara. Jambo lililonifanya kuchukia ni siku moja mwanadada aliyekuwa na sauti nyororo alipompigia simu mida ya saa sita usiku nikiwa naye kitandani.

Ninavyo kumbuka vizuri siku ile alikuwa amekataa kabisa tusifanye tendo la ndoa kwa maelezo kuwa alikuwa amechoka. Mwanadada yule alikuwa akimshukuru kwa kumtosheleza vilivyo na alimuuliza iwapo kesho angempa dozi nyingine.

Hapo mvutano baina yangu na mme wangu ukaanza tena. Kwa ajili sikuwa na nguvu za kupigana naye kila mara niliamua kuondoka kwenye ndoa ile na kurejea nyumbani kwetu kwani mambo yale yalikuwa yamenichosha nisijue la kufanya. Wazazi wangu walinipokea kwa ukarimu huku wakinifariji kuwa mambo yatarudi kuwa imara.

Pale nyumbani kwetu marafiki walianza kunizungumzia kwenye vikao huku wakisema kuwa maisha ya ndoa yalikuwa yamenishinda kabisa na hakuna mwanaume yeyote ambaye angenipenda tena maishani. Wengi walifurahia kwa uwepo wangu nyumbani kwa wazazi wangu. Nilivyokumbuka jinsi nilivyompenda mume wangu mbali na mambo yake ya mpango wa kando, machozi yalinibubujika kila mara kwani tulikuwa na mipango maalum naye ya kujiendeleza kimaisha.

Sikuamini kuwa mtu yeyote angekuja na kusitisha ndoa baina yangu na kipenzi changu cha moyo. Nilipokumbuka jinsi tulivyo apa kanisani kifo peke ndicho kitatutenganisha nililia zaidi. Baada ya kukaa mwezi moja pale nyumbani nilikutana na Grace ambaye pia alikuwa ameachwa na mume wake lakini walikuwa wamesuluhisha mambo. Nilimuliza jinsi walivyopata suluhu na hapo akanielekeza kwa daktari Kiwanga.

Siku iliyofuatia nilifunga safari hadi ofisini kwa daktari Kiwanga kwa ajili ya huduma zake nzuri kulingana na maongezi ya Grace. Nilihudumiwa kwa dakika chache na kurejea kwetu. Baada ya siku mbili mume wangu alinipigia simu kuwa anataka niende haraka mjini kwani alikuwa na dharura. Nilipofika nilishangaa kwani alikuwa analia kwa uchungu.

Dada yule mpango wake wa kando naye alikuwa katika hali ile ya maumivu huku akijikuna katika sehemu nyeti. Hali hii ilivutia umati mkubwa ajabu. Baadaye nilimpigia daktari Kiwanga simu na hapo alimrudishia mume wangu mambo kuwa shwari lakini dada yule alilazimika kulipa shilingi laki sita ili awe sawa. Tulirudiana na mume wangu na tangu siku ile ndoa yetu imekuwa na kutamaniwa na wengi kwa hisani ya daktari Kiwanga.

Ni daktari ambaye anaaminika na mwenye uwezo wa kusuluhisha mizozo ya mapenzi, biashara isioleta mapato, shida za kutopata mtoto na kuimarisha nguvu za kiume. Mtu yeyote aliye na shida za kimaisha anapaswa kuwasiliana naye kwani ndio utakaokuwa mwamko mpya katika maisha kwa uwepo wa daktari Kiwanga.
Wasiliana na kiwangadoctors kwa namba +254 769404965, tuma barua pepe
kiwangadoctors@gmail.com. Pia unaweza tembelea website yao www.kiwangadoctors.com kutambua mengi yanayowahusu.