Lyrics: Vanillah – Unanisitiri Lyrics
“Lyrics: Vanillah – Unanisitiri Lyrics”
Unanipa madaraka nitawale mwili wako
Nje ya mapenzi niwe rafiki wa maisha yako
Nshafanya na makosa nkajeruhi moyo wako
Nashukuru haukutoka upendo ulio ndani yako
Nashukuru haukutoka upendo ulio ndani yako
Tulivyoanza mapenzi sikudhani tungefikia huku
Mi sio wa kushindwa kulala mpaka unipige mabusu
Na kama siku nikikuacha nitaipata adhabu
Na ashindwe shetani asilete utengevu
Maana najuwa
Ikiwa kupata chumba cha kupanga ni ngumu
Sasa nitawezaje kupata moyo wa kuishi nidumu
Mungu alijibu kunipa wewe
RELATED: Lyrics: Lody Music – Kubali Lyrics
Unanisitiriii
Unanipenda na na
Silipi chochotee
Me unanisitiri
Naishi bure ndani ya moyo wako
Unanisitiri
madhaifu yangu umeyafanya siri
Unanisitiri
Mi unanisitiri
Kweli mungu akipanga kukupa hakuna wa kukipanguwa
Ni neema kubwa kupata kimvuli chini ya jua
Usione shavu ladondoka hapo mwanzo nilipungua
Chaguo la moyo liliponza mwili kumjali aliyenibagua
Ni neema kubwa
Nilitafuta mwonekano mimi mwonekano
Kumbe mapenzi yanadumu kwa watu wenye tabia za mfanano
Nilihishi na maumivu mimi yasiyo na mufano
Ila nilipo kupata wewe yakafika kikomo
Kichwa kilichoka maswali kutafakari
Ningewezaje mapenzi kwa hii hali
Maana ikiwa kupata chumba cha kupanga ni ngumu
Sasa nitawezaje kupata moyo wa kuishi nidumu
Mungu alijibu kunipa wewe
Una una unanisitiri
Nami nimepata wa kunitunza mwili
Una una nisitiri
Kweli nimepata wa kunisuuza mwili
Writting Credits Goes To Nai Mbiru.