Pakua Amapiano vibes inayomshirikisha Whozu Ndani Ya Mdundo
Leo ni Jumanne ya kipekee ya Amapiano ft. Whozu, Brandy Maina, Billnass, na Kamo Mphela. Hizi ni kazi za wasanii tajika wanaokubalika barani Afrika. Uwezo wao umetupa sisi fursa ya kukupa mixes kali kama hii kwa burudani yako murwa.Usipitwe!
RELATED: Download Singeli Mpya inayoshirikisha Balaa MC Ndani ya Mdundo
Download ‘Amapiano Vibes Mix’ hapa: https://mdundo.com/song/2722765
AU
Subscribe ili kupata DJ Mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/cloudsblog
DownloadOnMdundo #MdundoTZ #SambazaShangwe #SambazaShangweGusaMaisha


