Download Bongo Classics Mix Inayomshirikisha Darassa Ndani Ya Mdundo
Pata burudani ya kipekee kwenye Bongo Classics Mix ft. Darassa, Mac Voice, na Mabantu. Hawa wakiwa ni baadhi ya wasanii wanoendelea kutikisa anga za mziki kwa kishindo. Ubabe wao waendelea kudhihirishwa ndani ya mix hii.
RELATED: Nyimbo Za Injili: Mdundo Yamshirikisha Christopher Mwahangila Kwenye Mix Maalum Jumapili Hii
Sikiliza hapa: https://mdundo.com/song/2711013
Subscribe ili kupata DJ mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/cloudsblog
PakuaHapaMdundo #MdundoTZ #MixMpyaKilaSiku