AUDIO

AUDIO: Lameck Ditto – Valepain Mp3 Download

AUDIO: Lameck Ditto – VALEPAIN Mp3 Download

AUDIO: Lameck Ditto – Valepain Mp3 Download

“Valepain” is a popular song by Tanzanian artist Lameck Ditto, known for his contributions to the Bongo Flava and Afrobeat genres.

RELATED: AUDIO: Rosa Ree – My Baby Mp3 Download

”Katika msimu huu wa wapendanao kwa asilimia nyingi watu wanajikita katika maswala au upande unaowapa furaha na amani katika mioyo yao na kusahau kuna baadhi ya watu wako katika ulimwengu tofauti kabisa,

Mioyo ya watu hawa imejaa mateso, huzuni, majonzi na kutokuamini kabisa katika neno ‘mapenzi’ yaani wako katika valepain pakua nyimbo hii usikilize mistari hii ya kukufanya upate faraja kwenye moyo wako.

DOWNLOAD HAPA!!

Also, check more tracks from Cloudsmediatz,