Haya!! Leo ni siku nyingine na Cloudsmediatz tuna furaha kukuletea nyimbo mpya kutoka kwa msanii wa kike kutokea nchini kenya anaekwenda kwa jina la Nadia Mukami nyimbo yake inaitwa “Wangu”
Angalia Hii: Nadia Mukami ft B Classic – CALL ME BABY Mp4 Download VIDEO
Lakini pia Sanaipei Tande ameshiriki katika kutengeneza nyimbo hii iitwayo Wangu kwahiyo Download au Sikiliza Wangu Ya Nadia Mukami Hapo Chini Tafadhari.
Nadia Mukami Ft Sanaipei Tande – Wangu Mp3 Download AUDIO