Visa vya wizi wa watoto vimekua vikiongezeka kwa kiwango kikubwa, ni majuzi tu jirani yangu, Halima alimpoteza mwanae kwa njia ya isiyoeleweka, inakisiwa kua mtoto huyo aliyekua na umri wa miaka kumi na miwili alitekwa nyara na wanaume wawili alipokua anarejea nyumbani baada ya masomo ya madrasa katika msikiti mmoja pande za manzese jijini dar es salaam.
Tukio hilo liliripotiwa katika kituo cha polisi cha Pangani lakini kufikia sasa mtoto huyo hajapatikana, Mamaye mtoto huyo amekitembelea kituo hicho cha polisi bali maafisa hao wamekua wakimpa ahadi za kuweza kuwanasa majambazi hao lakini hakuna chochote kimefanyika.
hakuna mtu yeyote amenaswa kwa tuhuma za wizi wa mtoto huyo, Matukio hayo ya wizi wa watoto, katika makazi yetu mtaani wa kione jijini manzese yalinipa kiwewe, kwa kua nina watoto wawili wa umri kati ya 10-12.
Ambao nikiwa kazini hua wanabaki nyumbani peke yao kwa kua shule zilifungwa nchini kote kutokana na janga la korona linaloendelea kutikisa Nchi, Kwa mapenzi yangu kwa watoto wangu, niliona sio vyema kuwaacha mtaani peke yao kwa kua nilikua na hofu ya kuwapoteza kwa wezi wa watoto.
hivyo niliamua kumwajiri kijakazi aweze kuwalinda nyakati ambazo hua siko nyumbani, Mjakazi huyo ambaye alikua mwenye asili ya kihaya, alionekana kua mpole kwa siku za kwanza, jambo ambalo lilipelekea mie kua na uaminifu wa asilimia mia moja kwake.
Mara kwa mara nilimpa ruhusa ya kuenda kuwatembeza wanangu maeneo mbalimbali, ikiwemo bustani ya Uhuru jijini dar es salaam, kwa sababu alikua na ukaribu sana na watoto hao, walimpenda sana hata kuliko mie mama mzazi.
Mara kwa mara walipenda kua naye na nyakati nilipompa pumziko la kutokuja kazini, walijawa na bugdha, na hata kukasirika na kutokuzungumza na mimi, hadi siku mjakazi huyo akirudi kwangu.
Mara kwa mara nilipokuwa kwenye safari za kikazi, na muda mwingi sikua nyumbani hivyo kwa kua nilikua nimemuamini na kumdhamini mjakazi huyo kwa kiwango kikubwa, sikua na tashtiti yoyote Kwa kua nilijua kua mambo yalikua shwari nyumbani mwangu.
Siku moja niliweza kupata kazi ya kuenda kuunda ramani katika eneo la kibaha, pwani mwa nchi ya Tanzania kwa muda wa wiki moja,
jioni ya siku hiyo niliweza kuwasili nyumbani mapema ili niweze kuwaaga watoto wangu na kuweza kumpa mjakazi wangu mashauri kidogo ya kuweza kuwashughulikia watoto hao na pia wageni wangu wanaonitembelea mara kwa mara.
Usiku huo kila mmoja aliyekua chumbani ikiwemo mume wangu, watoto wangu na mjakazi wangu walikua wenye furaha rukuki, kufikia wakati ambapo nilikuwa tayari na kuwaarifu kua nina safiri kwa muda wa wiki tatu, niliweza kumpa masharti yote na kesho yake nkaondoka.
niliondoka na kwenda kwenda kwenye hio kazi yangu, Kwa muda huo mara kwa mara niliweza kuongea na watoto wangu kwenye simu ya mjakazi huyo, alionekana mkarimu saana, bila kujua tabia zake.
baadaye nilikuja kugundua kwamba wahenga hawakutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa waliponena kwamba Usikijaji kitabu kwa kutazama jalada lake, baadaye hua unakuja kujutia kama utakijaji, unatakiwa kukinunua na kukisoma.
Baada ya siku tatu nilipigiwa simu na mme wangu kua hajawaona watoto wetu wawili na pia mjakazi huyo hapatikani katika mawasiliano ya simu. Nilipata mshtuko mkubwa, jambo ambalo lilifanya niweze kuikatiza safari hiyo nije nyumbani kumsaidia mume wangu kuwasaka watoto hao.
kisa hicho nilikiripoti katika kituo cha polisi, na nikapata ahadi kua wangeshughulikia jambo hilo kwa siku chache tu, niliweza kutengeza vibandiko vya picha za watoto hao maeneo mbalimbali na kuweza kuuliza yeyote aliyekua amewaona aweze kuripoti kisa hicho kwenye kituo cha polisi karibu.
baaada ya yote hayo, niliweza kuupokea ujumbe mfupi kwenye simu yangu uliosema kwamba, ‘Twahitaji milioni kumi na tano ili upate watoto wako wakiwa uhai, Niliripoti kisa hicho lakini polisi hawakutoa usaidizi wowote.
Mmoja wa raafiki yangu wa dhati aliponitembelea aliniarifu kuhusu madaktari wa kiwanga ambao walikua na uwezo wa kuwanasa majambazi hao, nilimpigia daktari kiwanga simu na kumweleza tukio lote.
alifanya ganga ganga zake na kuniarifu niendelee na shughuli zingine watoto nitawapata kwa muda mfupi, baada ya siku mbili nilipata kupigiwa simu na Afisa wa polisi na kuarifiwa kua majambazi hao walijisalimisha katika kituo cha polisi na watoto hao.
majambazi hao walitiwa kizimbani kusubiri mashtaka, ila watoto wangu niliwapata wakiwa kwenye hali nzuri ya kiafya Namshukuru daktari kiwanga kwa kuniwezesha kuwapata watoto hao waliokua wamepotea.
Madaktari hao pia hutibu magonjwa kama Kisonono, Saratani ya mapafu na mengine mengi pia hutatua migogoro ya Ndoa, Mapenzi na mengine mengi, Tembelea wavuti
www.kiwangadoctors.com pia waweza kupiga simu kwa Nambari; +254 769404965 au watsapp kutuma ujumbe wa kielectroniki kwa baruapepe kiwangadoctors@gmail.com.