Video Kojo Funds ft WizKid – I Like Mp4 Download
Video Kojo Funds ft WizKid – I Like Mp4 Download DOWNLOAD
Video Kojo Funds ft WizKid – I Like Mp4 Download DOWNLOAD
Video Msamiati ft Ben Pol – Macho Kodo Mp4 Download DOWNLOAD
Audio Chigga Light ft Maze Dwin x Dewish The Matrix x Belle 9 – Usiku Na Mchana Mp3 Download DOWNLOAD
Audio Jidenna ft Mr Eazi – Zodi Mp3 Download DOWNLOAD
Video Koffi Olomide – Papa Ngwasuma Mp4 Download DOWNLOAD
Audio Ice Prince ft B.R x VMA – Born in Naija Remix Mp3 Download DOWNLOAD
Video Stivo Simple Boy ft Scheneider Shanny – I Lift You Higher Mp4 Download DOWNLOAD
Video Naira Marley – Soapy Mp4 Download DOWNLOAD
Leo August 10, 2019 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Willbroad Mutafungwaakizungumzia ajali ya lori la mafuta kuwaka moto na kuunguza watu Mkoani humo. “Gari lililokuwa limebeba Petrol lilipinduka, baada ya kupinduka mafuta yalimwagika watu wa eneo walijitokeza kuchota mafuta, moto ukalipuka takriban WATU ZAIDI YA 57 wamefariki” RPC Morogoro Mutafungwa
“Nilifika hapa nikakuta gari imedondoka, watu walikuwa wamebanwa ambapo ni Dereva na Mwanamke, watu wakawa wanaiba mafuta, chanzo cha ajali teja aliiba betri, wakati anavuta gari ikalipuka” Shuhuda