Vanessa Mdee Akiri Kuachana Na Jux (PICHA)
Vanessa Mdee Akiri Kuachana Na Jux (PICHA) Mwimbaji wa Bongo Fleva Vanessa Mdee ametangaza rasmi kupitia Instagram story yake kuwa ameachana na aliyekuwa mpenzi wake Juma Jux baada ya shabiki kuuliza kama hakuna mapenzi tena kati yake na Jux. Vanessa Mdee alijibu ‘Ndio, lakini ni marafiki wazuri sana na tutabaki kuwa familia daima’ swali hilo limekua likionekana kutojibiwa mara nyingi endapo wawili hao wakiulizwa…
