(LYRICS) Roma ft One Six – MKOMBOZI New Song
(LYRICS) Roma ft One Six – MKOMBOZI New Song Napiga goti napiga ishara ya msalabaDunia imenipiga kofi namuomba baba la babaNipimie shoti la bapa nizime madaAsubuhi nigongee noti niende kuifanya ibada Nadaiwa kodi ya pango nadaiwa ada ya watotoNa mama wa kambo anamchuna babaNa baba yuko ng’ambo ni mwaka sijaona msaadaAma kweli dunia ina mambo…
