Fahamu Zaidi Juu Ya SARS NI NINI?
Sars ni Ufupisho Wa Special Anti-Robbery Squad Ikiwa na maana kikosi maalum cha polisi kwaajiri ya kukabiliana na waporaji nchini Nigeria. Awali huku maandamano hayo yakitarajiwa kuwa ya amani, waandamanaji walishambulia kituo cha polisi na kusababisha kifo cha afisa mmoja wa polisi. Polisi walifyatua gesi za kutoa machozi na pia kuwarushia mabomu ya kutoa machozi…
