Tahadhari mvua kubwa DSM, Tanga na Pwani

Tahadhari mvua kubwa DSM, Tanga na Pwani
Tahadhari mvua kubwa DSM, Tanga na Pwani
Leo October 16, 2019 Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mvua kubwa katika mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Tanga na visiwa vya Pemba na Unguja.
TMA Imesema kuwa mvua kubwa itanyesha siku mbili yaani Alhamisi October 17 na Ijumaa October 18, 2019 hivyo wananchi wachukue tahadhari na mvua hizo.
Tahadhari mvua kubwa DSM, Tanga na Pwani
Madhara yanayoweza kujitokeza ni pamoja na watu kuchelewa kazini, kusimama kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi na kijamii.

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *