Snoop Humlipa Mfanyakazi Anayemsokotea Bangi Zaidi Ya Million 14 Za Kibongo (VIDEO)
Snoop Dogg anafahamika kuwa miongoni mwa wavuta bangi maarufu duniani upande wa mastaa wa muziki, lakini kuna jambo moja ulikuwa hulifahamu toka kwake.
Rapper huyo ameweka wazi kuwa ameajiri mtu maalum kwa ajili ya kumsokotea bangi tu muda wote.
Kwenye mahojiano na Howard Stern Show, Snoop amethibitisha hilo na kusema amemuajiri jamaa huyo kwa kazi ya muda wote (Full-Time Job) na anamlipa hadi kiasi cha ($50K) sawa na milioni 114 za Kitanzania kwa mwaka.

Leave a Comment