MUSIC

Davido Apata Ugeni Wa Kwanza Wa Kichanga Chake

Davido Apata Ugeni Wa Kwanza Wa Kichanga Chake
Staa wa Nigeria, Davido ambae leo October 20, 2019 ameandika vichwa vya habari nchi kwao baada ya mpenzi wake aitwae Chioma kujifungua salama mtoto wa kiume.

Davido ametoa taarifa kwa umma kupitia ukurasa wake wa instagram kwa kupost picha akiwa amembeba mtoto wake ambayo ilikuwa imeambatana na caption inayosomeka, “OMOBA TI DE!!! DAVID ADEDEJI IFEANYI ADELEKE Jr I !! D PRINCE IS HERE!!!! 20 – 10 – 2019 !!! Love you my STRONG WIFE!!! @thechefchi I LOVE YOU!!!!! ❤️💕

Leave a Comment