The Return Of Chilla
Leo Hii Mwanamziki Mkongwe Kutoka Tanzania Anayejulikana Kama “Q Chilla” au “Q Chief” Ataachia “Album” Yake Ikiwa inakwenda Kwa Jina La “The Return Of Chilla” Ambapo Akiwa Na Msanii Kutoka W.C.B “Harmonize” Kazi Itaanza saa 01:00 Usiku.