πŸ“’ Nafasi Ya Kazi: Producer Wa Vipindi Vya Radio! πŸ“’

πŸ“’ Nafasi Ya Kazi: Producer Wa Vipindi Vya Radio! πŸ“’

πŸ“’ Nafasi Ya Kazi: Producer Wa Vipindi Vya Radio! πŸ“’

Unapenda redio na una ujuzi wa kuandaa vipindi vyenye mvuto? Times FM inakutafuta! Tunahitaji muandaaji mbunifu, mwenye bidii, na atakayeweza kwenda sambamba na mahitaji ya wasikilizaji wetu.

Jiunge na timu yetu leo! Kama unajua jinsi ya kupika maudhui bora.

Tuwasiliane!
πŸ‘‰ +255 716 395 815

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *